19-09-2018 13:24 via mwananchi.co.tz

Maua Sama, Soudy Brown waendelea kusota rumande - Mwananchi Communication Limited

Mwananchi Communication Limited
Maua Sama, Soudy Brown waendelea kusota rumande
Mwananchi Communication Limited
Dar es Salaam. Mwanamuziki anayetamba na wimbo 'Iokote' Maua Sama na mtangazaji wa kipindi cha Shilawadu, Soudy Brown wameendelea kusota rumande tangu walipokamatwa Septemba 16, 2018. Wasanii hao walikamatwa sambamba na meneja ...
Ler mais »