20-09-2018 15:17 via mwananchi.co.tz

Hatima ya Maua Sama, Soudy Brown bado kitendawili - Mwananchi Communication Limited

Mwananchi Communication Limited
Hatima ya Maua Sama, Soudy Brown bado kitendawili
Mwananchi Communication Limited
Dar es Salaam. Mwanamuziki Maua Sama, meneja wake Fadhili Kondo na mtangazaji wa Clouds, Soudy Brown wanaendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam kwa zaidi ya saa 84 wakituhumiwa kuharibu mali. Akizungumza na MCL ...
Ler mais »