12-10-2017 12:40 via bbc.com

Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa - BBC Swahili

BBC Swahili
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa
BBC Swahili
Uchunguzi uliofanyiwa chanjo mbili tofauti za ugonjwa wa Ebola umebaini kuwa chanjo hizo zinaweza kumkinga mtu kutokana na virusi vya ugonjwa huo kwa takriban mwaka mmoja. Utafiti huo uliochapiswa katika jarida la New England Journal of Medicine, ...
Lees meer »