03-09-2015 14:09 via dw.com

Rais wa Guatemala ajiuzulu - Deutsche Welle

Deutsche Welle
Rais wa Guatemala ajiuzulu
Deutsche Welle
Rais wa Guatemala Otto Perez Molina amejiuzulu baada ya bunge kumuondolea kinga ya kutoshitakiwa kufuatia tuhuma za kujihusisha na masuala ya rushwa. Duru nchini humo zinaarifu kuwa Molina aliwasilisha barua ya kujiuzulu kwake hapo jana usiku ...
Ver mas »