22-09-2016 04:21 via swahili.cri.cn

Kibarua cha kocha wa Valencia CF chaota mbawa - China Radio International Kiswahili

Kibarua cha kocha wa Valencia CF chaota mbawa
China Radio International Kiswahili
Klabu ya Valencia CF imetangaza kumfukuza kazi meneja Pako Ayesteran kufuatia kufanya vibaya kwa kikosi hicho tangu walipoanza msimu wa 2016/17, ikiwa ni miezi sita tu tangu walipomtangaza kuwa mkuu wa benchi la ufundi badala ya Gary Neville ...
Ver mas »