20-10-2016 06:49 via bbc.com

Trump na Clinton wapambana tena katika mdahalo - BBC News Swahili

BBC News Swahili
Trump na Clinton wapambana tena katika mdahalo
BBC News Swahili
Wagombea Urais nchini Marekani Donald Trump na Hilary Clinton wamechuana tena katika awamu ya tatu na ya mwisho ya mdahalo mjini Las Vegas, ikiwa zimebaki siku chache tu, kufanyika uchaguzi nchini humo. Wamepambana vikali katika masuala ...
Ver mas »