22-10-2016 11:14 via swahili.cri.cn

Jeshi la Iraq ladhibiti tena mji wa Hamdaniyah kutoka IS - China Radio International Kiswahili

China Radio International Kiswahili
Jeshi la Iraq ladhibiti tena mji wa Hamdaniyah kutoka IS
China Radio International Kiswahili
Vikosi vya usalama vya Iraq vimeukomboa mji wa Hamdaniyah kutoka kwa wapiganaji wa kundi la IS karibu na mji wa Mosul huku mashambulizi makali yakiendelea kwa lengo la kukomboa maeneo mengi zaidi kwenye mji huu. Duru za kijeshi zinasema ...
Ver mas »