29-11-2016 08:30 via bbc.com

Uchaguzi wa urais Somalia waahirishwa tena - BBC News Swahili

BBC News Swahili
Uchaguzi wa urais Somalia waahirishwa tena
BBC News Swahili
Uchaguzi wa urais nchini Somalia, ambao ulikuwa umeahirishwa kwa mara mbili awali, umeahirishwa tena kwa muda usiojulikana. Mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi nchini humo Omar Mohamed Abdulle ameambia wanahabari mjini Mogadishu kwamba ...
Ver mas »