01-10-2016 07:31 via bbc.com

Samsung kuuza tena Galaxy Note 7 - BBC News Swahili

BBC News Swahili
Samsung kuuza tena Galaxy Note 7
BBC News Swahili
Samsung imeanza mauzo ya simu yake, Galaxy Note-Seven nchini korea kusini, baada ya kusitisha mauzo yake mwezi mmoja uliopita, kutokana na madai kwamba simu hizo zinalipuka. Kampuni hiyo inasema hitilafu kwenye batri zake zilisababisha ...
Ver mas »