29-05-2018 03:08 via swahili.cri.cn

Robert Mugabe alipuuza bunge tena - China Radio International Kiswahili

Robert Mugabe alipuuza bunge tena
China Radio International Kiswahili
Aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameshindwa kujitokeza bungeni kwa mara nyingine, kutoa maelezo kuhusu taarifa aliyotoa mwaka 2016 inayodai kuwa Zimbabwe inaweza kula hasara ya dola bilioni 15 za kimarekani kutokana na uvujaji wa ...
Ver mas »