01-10-2016 12:39 via bbc.com

Mji wa Aleppo washambuliwa tena - BBC News Swahili

BBC News Swahili
Mji wa Aleppo washambuliwa tena
BBC News Swahili
Mashambulizi ya angani yanayoendelea katika mji unaoshikiliwa na waasi wa Allepo nchini Syria, yamegonga hospitali. Kundi la Syrian American Medical Society, linalofadhili hospitali hiyo linasema kwamba hospitali hiyo ilishambuliwa kwa makombora ...
Ver mas »