07-02-2017 11:46 via dw.com

Merkel kugombea tena kiti cha kansela kwa tikiti ya CDU/CSU - Deutsche Welle

Deutsche Welle
Merkel kugombea tena kiti cha kansela kwa tikiti ya CDU/CSU
Deutsche Welle
Tunaanzia lakini Munich ulikofanyika mkutano wa vyama ndugu vya Christian Democratic Union CDU na Christian Social Union CSU. Wakuu wa vyama hivyo ndugu wamemteuwa rasmi Angela Merkel agombee wadhifa wa kansela kwa mara ya nne.
Ver mas »