16-11-2016 13:52 via bbc.com

Kwa nini Trump hataendesha gari tena - BBC News Swahili

BBC News Swahili
Kwa nini Trump hataendesha gari tena
BBC News Swahili
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ambaye ataingia madarakani Januari mwaka ujao, anamiliki magari mengi ya kifahari. Hata hivyo, hataweza kuyaendesha tena chini ya sheria za sasa. Rais na marais wa zamani hawaruhusiwi kuendesha magari ...
Ver mas »