04-09-2017 11:34 via bbc.com

Kate Middleton ni mjamzito tena - BBC Swahili

BBC Swahili
Kate Middleton ni mjamzito tena
BBC Swahili
Mke wa Mwanamfalme mtawala wa Cambridge William, Bintimfalme Kate, ana ujauzito wa mtoto wao wa tatu, kasri ya Kensington imetangaza. Malkia Elizabeth na familia za wawili hao "zimefurahishwa sana na taarifa hizo." Sawa na katika mimba alizokuwa ...
Ver mas »