27-03-2018 06:19 via bbc.com

Brazil v Ujerumani: Watalipiza kisasi kichapo cha 7-1 au ... - BBC Swahili

BBC Swahili
Brazil v Ujerumani: Watalipiza kisasi kichapo cha 7-1 au ...
BBC Swahili
Mkufunzi wa Brazil Tite amesema timu yake bado inatatizwa na "mizimu" ya kipigo cha 7-1 ambacho walipokezwa na Ujerumani katika nusu fainali ya Kombe la Dunia miaka minne iliyopita. Mataifa hayo mawili yatakutana tena wka mara ya kwanza Jumanne mjini Berlin tangu Brazil walipoaibishwa kwao nyumbani wakati wa michuano hiyo ya Kombe la Dunia. "Hii ina maana kubwa sana kisaikolojia - hakuna anayehitaji kujidangany
Ver mas »