11-10-2016 03:34 via swahili.cri.cn

Shirikisho la Soka Hispania lafafanua kuhusu jezi ya Gerard Pique - China Radio International Kiswahili

Shirikisho la Soka Hispania lafafanua kuhusu jezi ya Gerard Pique
China Radio International Kiswahili
Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Gerard Pique ametangaza kuwa msimamo wake bado upo pale pale kuwa atastaafu kuichezea timu ya Taifa ya Hispania baada ya michuano ya kombe la Dunia 2018, Russia. Beki huyo ameyasema hayo baada ya ushindi ...
Ver mas »