30-10-2017 12:34 via swahili.cri.cn

China kuunga mkono umoja wa Hispania baada ya Catalonia ... - China Radio International Kiswahili

China kuunga mkono umoja wa Hispania baada ya Catalonia ...
China Radio International Kiswahili
China imesema inaunga mkono juhudi za serikali ya Hispania kuimarisha umoja wa kitaifa na ukamilifu wa ardhi baada ya bunge la Catalonia kujitangazia uhuru siku ya Ijumaa. Muda mfupi baada ya bunge kutoa tangazo lake, Waziri mkuu wa Hispania ...
Ver mas »