15-01-2018 16:55 via dw.com

Bayern haina mshindani katika Bundesliga - Deutsche Welle

Deutsche Welle
Bayern haina mshindani katika Bundesliga
Deutsche Welle
Bayern Munich wanaelekea kulinyakua tena taji la Bundesliga msimu huu baada ya mwishoni mwa juma kufikisha mwanya wa pointi 13 kutoka timu inayoifuatia. Fußball Bundesliga Bayer Leverkusen - Bayern München 2018 (Reuters/W. Rattay). Wachezaji wa Bayern Munich Frank Ribbery na Rafinha wakishangiria bao. Tuanze na Bundesliga: Borussia Dortmund ilitoka sare ya bila kufungana jana Jumapili na VFL Wolsburg, ambao ni vid
Weiterlesen »